Shujaa
Unasafirini kwa matakwa ya watu wako
Mnachagueni vita kwa majina ya shujaa
Mwishowe mnaunguweni tena majivuni
Mwishowe mnaunguweni tena majivuni
Ukuu ukuu
Kwa wanao ona yajayo
Tutaimba wimbo wa mwanga moto, usiku wa giza (Mwanga na moto wetu)
Matakwa ya watu wako
Unachagua vita kwa jina la
Shujaa mwishowe unaunguwa kwa ajili ya ndoto
Mwishowe unaunguwa tena majivuni
Unasafirini kwa matakwa ya watu wako
Mnachagueni vita kwa majina ya shujaa
Mwishowe unaunguwa moto kwa ajili ya ndoto
Mwishowe unaunguwa tena majivuni
Unasafirini kwa matakwa ya watu wako
Mnachagueni vita kwa majina ya shujaa
Mwishowe unaunguwa moto kwa ajili ya ndoto
Mwishowe unaunguwa tena majivuni
Utukufu
A shujaa
Geuka kama alfajiri